Kwa wote tutakaokuwepo Mahakamani hapo leo, ni vyema tukahabarisha kinachotokea. Ikumbukwe kuwa leo, pingamizi la awali lililowasilishwa na Serikali kupitia kwa Mwanansheria Mkuu wa Serikali pamoja na maombi madogo ya kusitishwa kwa Bunge maalum la katiba yatasikilizwa.
Wananchi wameshaanza kujitokeza kujua hatima ya Bunge maalum la katiba na nchi yetu kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment